Wiki hii EATV walitangaza kuwa kupitia ukurasa wao wa facebook
wangekuwa na Agnes Masogange katika ile session yao iitwayo KIKAANGONI
LIVE, ambayo hufanyika kila Jumatano ambapo mtu maarufu hualikwa kwenda
‘kukaangwa kwa maswali’ (kuchat) na mashabiki wake kupitia kwenye
ukurasa wa EATV.
Lakini tofauti na ilivyotarajiwa, mrembo huyo maarufu kupitia video
za muziki za bongo hakuweza kutokea, hivyo ilikibidi kituo hicho
kuomba radhi kwa kuandika:
‘TAARIFA: Kwa wapenzi wa Kikaangoni Live ambao walikuwa wakimsubiri
Agness Masogange kwa hamu, tunapenda kuwataarifu kuwa hatutaweza kuwa
naye tena kwenye CHAT leo kama ilivyotangazwa hapo awali, kutokana na
Agness kutofika kwa wakati uliopangwa.
Poleni kwa usumbufu!’
Poleni kwa usumbufu!’

Kutokana na kushindwa kutokea kwa mrembo huyo mashabiki waliokuwa
wanaonekana walijiandaa kwa maswali mazito, walizitoa hasira zao kila
mmoja kwa style yake, na hizi ni baadhi ya comments:
Jovin Che Rutha- Yaani mara kumi mngemualika
yule binti aliyeongoza form 4 masista du wa skonga wanaweza kujifunza
asa huyo ana kipi cha kuifundisha jamii?.Labda afundishe njia za kukuza
makalio na kusafirisha madawa,.#nonsense
Zumbe Jafari Zuakulu- Alafu anamashauzi anajikuta
babu kubwa hii mara ya pili ya kwanza ilkuwa FNL nanyie mnajiprndekeza
kwake km vipi mpotezeeni mbona wapo wengi wakuja anakuja km nani hapo
mana mm cjui hata nn kinamleta.
Prisca Chao-sasa na nyie mlimwita wa kazi gani huyo choo?!yan hata hakuna cha kujifunza kutoka kwa huyo bwege.eatv muwe mnajipanga sa nyingine.mbuzi yy!
Hillary ‘Bling’ Henry-Bora hakuja maana hakuna jambo la msingi 2ngelipata tokea kwake, angetupa tory zake za ngono na madawa ingeboa kchz.
Hussein SK Kazuru-Kama Aziwatoshi mutaendelea kumualika kwenye vipindi vyenu Rudisheni kumbukumbu nyuma kidogo kama sikosei ni wiki 3 ivi zilizopita aliwazingua kwenye kipindi cha friday 9 sasa mnashoboka na uyo KONTENA kiasi icho kuna jambo gani hasa la msingi mnazani anaweza akaongea jamii ikaona ni jambo la maana wakaiga. Muiteni hata RAY. C mmeng’ang’ania masogange masogange WHO IS masogange??
Anna Mkenda-Nyie wote mnaomtukana mna uhakika nyie ni wakamilifu? Toeni boriti kwenye macho yenu kwanza kabla ya kutoa kwake. Nina uhakika hamna binadamu aliekamilika sasa nyie mnamjudge mwenzenu mkiwa kama nani?
Vox Robinson- dah!bint mzur kama ivi afu cv mbaya kwann! jirekebishe mamaa.me skupond maana nikikuponda nn atakurekebisha ase afu rudi nyuma jitambue cheki wap umekosea afu fumba macho usal mwambie mungu akupe nguvu ujirekebishe.
Ayubu Ngerecha- Anakuja yeye kama nani?, mwanamziki?, muigizaji?, mchoraji?, au kukamatwa na mihadarati ndo promo? anakujazungumzia topic gani? kuhusu nini?…by the way that’s empty vessel and dark minded brain nafrah kuckia hatokuwepo.
Juma Abdallah Bakari-Kwanza sjaona sababu ya kumwita studio huyu! hv kikaangoni ni ya watu gani labda mnisanue! mi nnavyojua mnaleta mtu maarufu na mwenye mafanikio ili sisi anaetu inspire tuburudike na kujifunza kutoka kwake kwa kumuuliza maswali! Sasa huyu mcheza sinema za ngono na muuza madawa ya kuwapoteza vjana anatu inspire vp vjana mkiangalia! #ANNAPITTER #jipange kabra ya kutuletea mtu wa kingaangoni! Kwanza vjana tuna hasira nae ndo maana katambaa.
Fatuma Said-looooh namuonea huruma msichana mwenzangu kwa yanayomkuta inaid abadirike na kuomba raz watz wenzake bado anafaa kuja kwenye interview ili aelimishe vjana wenzie ata wale wanaotaka kujiunga na hiyo kaz wasiingie.
Yuster Major- jana alijibu pumba sana kwenye post ya kututaarifu kua atakua kikaangoni,nilijua tu hatakuja sababu ya maswali yetu,maswali ni makali sana,kala kona.
Vinge Makala- Kwani anakitu gani cha ziada mpaka mumuite kwanza analipi ambalo linasaidia kuleta mchango kwenye jamii zaidi ya kuharibu tunataka role modal wa ukweli msituletee makahaba na wauza madawa kweli muda wote mnatafuta kahaba halafu mnatuambia kuwa tutume maoni tafuteni watu wenyewe heshima zao katika jamii achene kujidhalilisha kuweni watu wenyewe msimamo huyo atazungumza kitu gani ambacho kinafaida kwa jamii yetu.
James Charles-sio pouwa kumtukana mwezenu(masogange) nae ni binadamu labda kapata za rula hatakama sio star nyie haiwausu na hata akiuza madawa ya kulevya niyeye na maishayake nyie inawauma nin achen wivu wakijinga bhana watanzania sjui tukoje ndomana hatuendelei kwa majungu!!!!!

Post a Comment