MASHABIKI WA MAN UTD WAFANIKIWA KUPITISHA BANGO LA KUMTAKA MOYES AONDOKE JUU YA PAA LA OLD TRAFFORD NA NDEGE
Hisia0
Hatimaye
mashabiki wa Manchester United wamefanikiwa kupitisha bango lenye
ujumbe wa kumtaka kocha David Moyes aondoke - bango hilo lilipitishwa
juu ya paa la uwanja wa Old Trafford muda mchache kabla ya mechi kati ya
United vs Aston Villa.
Post a Comment