Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa Kijiji cha Kimange,Kata ya
Kimange,Wilayani Bagamoyo leo Machi 15,2014, wakati akiwasili kwa ajili
ya Mkutano wa Kampeni zake za Uchaguzi huo mdogo unaotarajiwa kufanyika
Aprili 6,2014.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kimange,Kata ya Kimange
Wilayani Bagamoyo leo Machi 15,2014,wakati wa Mkutano wa Kampeni zake za
Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6,2014.

Kikwete akitoa hotuba yake kwa wakazi wa Kijiji cha Miono,Wilayani
Bagamoyo leo Machi 15,2014,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano ya
Kampeni zake za Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa
kufanyika Aprili 6,2014

Kikwete akijumuika pamoja na wanakijiji wa Miono,Wilayani Bagamoyo
kwenye dua maalum ya kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie mafanikio mema
katika kumuongoza Mgombea Ubunge huyo kwenye mwendelezo wa Kampeni zake
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete pamoja na Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Steven Kazidi wakiwa na Mama wa Mbunge wa Zamani wa Jimbo la
Chalinze (aliefariki Dunia),Marehemu Said Bwanamdogo wakati walipofika
kumjulia hali nyumbani kwake Kijijini Miono,Bagamoyo leo Machi
15,2014.Picha na Othman Michuzi.

إرسال تعليق