Waziri wa Maji Prof. Jumanne Mghembe akiongea na wandishi wa wa habari (hawapo pichani) kuhusu mandalizi ya wiki ya maji ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Dodoma kushoto kwake ni mwenyekiti wa Kamati ya Maadhimisho Kitaifa Injinia AMANI MAFURU, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Maji NURDIN NDIMBE.
004
Msimamizi wa Mradi wa Visima wa uchimbaji Visima katika eneo la MZAKWE, Bwana METHOD ILAMULIRA, kutoka Kampuni ya DON CONSULTANT akimuonyesha Afisa Habari wa Mamlaka ya Maji mjini Dodoma, DUWASA, SEBASTIAN WARIOBA jinsi Uchimbaji wa Maji unavyofanyika kupitia Visima virefu. ambavyo vinatarajiwa kuondoa tatizo la maji katika mkoa wa Dodoma.(picha na Chis Mfinanga).
005