
Mwanamke abubujikwa na machozi mbele ya mwili wa mwathiriwa wa kukanyagana nchini DRC Congo.
Takriban watu 21 wamefariki baada ya kukanyagana katika sherehe za muziki nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
karibia watu 12 walijeruhiwa.
Mashahidi wanasema kuwa umati wa watu ulikimbilia katika mlango wa kutokea kufuatia kukatika kwa umeme.
Uchunguzi kuhusu kisa hicho umeanzishwa.
Post a Comment