Kama wewe ni shabiki wa mfalme wa Pop MJ tarajia kupata kazi
zake mpya ambazo hujawahi kuzisikia sababu Epic Records wametangaza kuwa
wanatarajia kutoa album mpya ya marehemu Michael Jackon iliyopewa jina
la ‘Xscape’.
Album hiyo itajumuisha jumla ya nyimbo 8 za MJ ambazo aliwahi kuzirekodi enzi za uhai wake lakini hazijawahi kutoka.
‘Xscape’ ambayo kwa sehemu kubwa imefanywa na producer mkongwe Timberland imepangwa kutoka May 13. Maproducer wengine walioweka mchango wao katika album hiyo ni pamoja na Rodney Jerkins, Stargate, Jerome “Jroc” Harmon na John McClain.

“Michael left behind some musical performances that we take great
pride in presenting through the vision of music producers that he
either worked directly with or expressed strong desire to work with,” Alisema CEO wa label hiyo L.A. Reid
Source: Billboard
إرسال تعليق