Alichokisema Jaji Warioba April 23 kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Twaweza.

Image00007April 23 Asasi ya Twaweza kupitia ukumbi wa Makumbusho wa Taifa walikua na uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa maoni kuhusu namna Watanzania wanavyoona uwakilishi wao katika bunge maalum la katiba,miongoni mwa watu waliopata nafasi ya kuongea ni pamoja na Jaji Mzee Joseph Sinde Warioba.
Image00001Miongoni mwa vitu alivyovizungumzia Jaji Warioba ni kuhusu kuingizwa siasa na Dini na kuomba kutochanganywa kwa vitu hivyo huku akipinga kauli za baadhi ya wajumbe wa Bunge kuingilia baadhi ya watumishi wa serikali kama Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi,zitumie dakika hizi kumsikiliza Jaji Warioba.
Bonyeza play kusikiliza.

Post a Comment

Previous Post Next Post