Kampuni
ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD inautangazia umma kutoweka Mfanyakazi
MUSA SAID (Pichani) aliyekuwa Dereva wa 21st CENTURY TEXTILES MOROGORO
kwa kupeleka kusikojulikana mzigo wa Vitenge na kisha kutelekeza gari
lenye namba za usajili T 128 CVJ katika bohari kuu (Main Godown) ya Dar
es Salaam kampuni ya MOHAMMED ENTERPRISES (T) LTD.
Tumeshafungua Jalada CB/RB/4869/2014 na CB/IR/1540/2014.
Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwake.
Kwa
taarifa za kupatikana kwake piga simu Na. 022 2118930 au 022 2112756;
0755 030 014 au 0784 783 228; au toa taarifa kituo chochote cha polisi
kilicho karibu na wewe.
Post a Comment