Arsenal 3 vs 1 West Ham April 15 2014.

Screen Shot 2014-04-15 at 11.44.47 PMMpaka game inaisha Arsenal walikua wana ushindi wa goli 3 huku mbili zikifungwa na Podolski kwenye dakika ya 44 na 78 alafu moja la Giroud dakika ya 55 ambapo goli pekee la West Ham lilifungwa na Jarvis dakika ya 40.

Post a Comment

أحدث أقدم