Baadhi
ya wasanii kutoka Bongo Movie walifika leo katika makaburi ya kinondoni
ambapo ndipo mwili wa marehemu Steven Kanumba ulipohifadhiwa tangu
tarehe 4/7/2012, walifika ili kuweza kuonesha kuwa bado wapo nae hasa
kwa kile marehemu alichokifanya na kutoa mchango mkubwa katika Tasnia ya
filamu Tanzania.

Wasikilize hapa baadhi ya Wasanii waliyaongea kuhusu marehemu Steven Kanumba
إرسال تعليق