Baikoko kushiriki tamasha Ujerumani


Wasanii kutoka Tanzania wanatarajiwa kupamba maonesho makubwa mbalimbali nchini Ujerumani katika msimu wa joto.

Waliopata nafasi hiyo ni kikundi cha ngoma ya Baikoko kutoka mkoani Tanga.

Wengine ni mwanamuziki nguli wa reggae, Jhikoman & Afrikabisa band kutoka Bagamoyo, Pwani ambaye

amealikwa rasmi na Afrikative Organization
kushiriki onyesho kubwa la International Africa Festival Tubingen 2014 yanayoanza 17 mpaka 20 julai 2014 huko Tubingen, Ujerumani.

Wazee wa kazi Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki elien kama kawaida yao watalishambulia jukwaa kuhakikisha washabiki wao hawapati usingizi.

Post a Comment

Previous Post Next Post