Katika kusheherekea sikuu ya Pasaka, wasanii Chege Chigunda au
mtoto wa Mama Saidi na mwenzake YP wametoa burudani ya aina yake kwa
wakazi wa Dar es Salaam katika tamasha maalum la Cheka Bombastik
lililofanyika katika fukwe za Coco jijini Dar es Salaam.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya wa kundi la TMK Family
Chege akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye Tamasha la
Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya
wateja wake katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka na kufanyika kwa siku
mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya hindi coco beach
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Msomi John a.k.a War
killer akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika Tamasha la
Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya
wateja wake katika msimu huu wa sikukuuya pasaka na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya hindi coco beach
Burudani ilianza kwa staili ya aina yake kwa wasanii Chipukizi “Underground” kupanda jukwaani na kutoa burudani kwa
maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika fukwe hizo. Uwanja ulikuwa hautoshi pale alipopanda jukwaani Chege Chigunda na kuwapeleka Mashabiki wake Uswazi Take Away, kwa kuifanya kazi yake vyema na kutoa burudani ya Kipekee kwa pamoja waliimba nyimbo kadhaa za kundi la Wanaume Family.

Akizungumza na waandishi wa habari punde baada ya kumalizika kwa
Tamasha hilo, Meneja Uhusiano wa Ummawa Vodacom Tanzania, ambao ndio
waandaaji wa Tamasha hilo, Matina Nkurlu amesema kuwa imekuwa kawaida
kwa kampuni yao kutoa burudani kwa Wakazi wa Dar
es Salaam na Sehemu nyingine katika ziku za siku kuu.
es Salaam na Sehemu nyingine katika ziku za siku kuu.
Mwanaidi Jumanne akiwa kwenye Swagga la ukweli la pasaka katika
Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi
kwa ajili ya wateja wake katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka na
kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya hindi
“Umekuwa ni Utaratibu wetu wa kawaida wa kutoa burudani kwa
Watanzania ambao wamekuwa wakituunga mkono siku zote na kutufanya kuwa
namba moja kila siku,” alisema Nkurlu na kuongeza, Umati huu ni ishara
tosha ya namna wakazi wa Dar es Salaam walivyo kubali burudani hii.
Burudani hii ni Maalum kwa wale wote ambao wanapenda kupumzika katika
sehemu za Fukwe kama Coco Beach, tunatambua
kuwa kipindi hiki wengi wanapenda kupumzika na familia zao hivyo ni vyema pia wakapata burudani ya aina hii.” Alisema Nkurlu.
kuwa kipindi hiki wengi wanapenda kupumzika na familia zao hivyo ni vyema pia wakapata burudani ya aina hii.” Alisema Nkurlu.
Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Amir Jabir mkazi wa
Namanga jijini Dar es Salaam akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es
Salaam kwenye Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom
Tanzania mahususi kwa ajili ya wateja wake katika msimu huu wa sikukuu
ya pasaka na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari
ya hindi
Meneja huyo alisema kuwa burudani hiyo ni ya siku mbili, siku ya tarehe 20 na 21 ya Mwezi April ambayo ni jumapili na
jumatatu ya pasaka, na wateja wa Vodacom watakao jitokeza katika Tamasha hilo, watapata zawadi mbalimbali na wataunganishwa na huduma ya Cheka Bombastik Bure, Ili kuweza kupiga simu kwa bei nafuu.
jumatatu ya pasaka, na wateja wa Vodacom watakao jitokeza katika Tamasha hilo, watapata zawadi mbalimbali na wataunganishwa na huduma ya Cheka Bombastik Bure, Ili kuweza kupiga simu kwa bei nafuu.
“Tumefanya Tamasha hili tukiwa na ujumbe maalum kwa wateja wetu wa
Vodacom kuhakikisha wanajiunga na huduma yetu ya Cheka Bombastik ambayo
inawapa nafasi ya kuchagua bando za aina mbali mbali za kupiga simu,
Vodacom kwenda Vodacom au kutoka Vodacom kwenda mitandao mingine.”
Post a Comment