MeTL Group imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 78 kuanzisha kinywaji chake ‘Mo Cola’ .


Blz23IpIIAAE0pGCoca-Cola, Pepsi na Azam Cola, wamepata mpinzani mpya, Mo Cola.
Kinywaji hicho ni cha kampuni ya MeTL Group iliyochini ya milionea wa Tanzania, Mohamed Dewji ambaye pia ni mbunge wa Singida Mjini.
“Mo Cola will be in the market in 2 weeks. I urge #Tanzanians to try it! We have invested $48 million,” ameandika Dewji.

Post a Comment

Previous Post Next Post