Chelsea Football Club
wameachia jezi ambazo watakua wanazitumia katika msimu wa 2014/2015 na
zipo tayari kuweza kuingia mtaani na soon zitapatikana kwenye maduka
yote ya CHELSEA na mengine ya Sports duniani kote. Utambulisho
huo wa “Forever Blue”, KIT mpya ambayo kwa mara nyingine tena
imetengenezwa na ADIDAS ambayo imebeba campain ambayo mwaka jana mzima
wakiwa wanapromote msemo wao ujulikanao kama “It’s
Blue. What else matters?” na hii inawafanya wachezaji kupata mzuka
zaidi wa kutengeneza maajabu katika mechi zao kwa msimu ujao.

Chelsea FC Chief Executive Ron Gourlay wa timu hii alisema…… ‘We are
very proud to have once again worked with adidas to deliver a standout
campaign to launch our new home kit for the 2014/15 season. The creative
theme of “Forever Blue” and capturing those memorable moments that will
live in the minds of our players and fans is a great way to bring the
new kit to life.’

Post a Comment