“CHELSEA New kit”, angalia jezi mpya za Chelsea kwa msimu 2014/2015

chels
Chelsea Football Club wameachia jezi ambazo watakua wanazitumia katika msimu wa 2014/2015 na zipo tayari kuweza kuingia mtaani na soon zitapatikana kwenye maduka yote ya CHELSEA na mengine ya Sports duniani kote. Utambulisho huo wa “Forever Blue”, KIT mpya ambayo kwa mara nyingine tena imetengenezwa na ADIDAS ambayo imebeba campain ambayo mwaka jana mzima wakiwa wanapromote msemo wao ujulikanao kama “It’s Blue. What else matters?” na hii inawafanya wachezaji kupata mzuka zaidi wa kutengeneza maajabu katika mechi zao kwa msimu ujao.
Chelsea
Chelsea FC Chief Executive Ron Gourlay wa timu hii alisema……  ‘We are very proud to have once again worked with adidas to deliver a standout campaign to launch our new home kit for the 2014/15 season. The creative theme of “Forever Blue” and capturing those memorable moments that will live in the minds of our players and fans is a great way to bring the new kit to life.’

Chelsea 2

Post a Comment

أحدث أقدم