Cyril Kamikaze atease kava lenye utata la single yake mpya ‘Alowa’ - Picha

Rapper wa kundi la Wakacha, Cyril Kamikaze anatarajia kuachia single yake mpya iitwayo ‘Alowa’. Katika kunogesha ujio wake mpya, rapper huyo mwenye asili ya Singida ametease picha ya kava ya single hiyo yenye utata.
928525_818275284867856_150171588_n Ni shidaa
Katika picha hiyo, Cyril anaonekana akiwa amelala katika ya miguu ya msichana mwenye assets kubwa kama za Masogange.

Post a Comment

Previous Post Next Post