HomeBIASHARA Wema Sepetu ala shavu la mtandao wa simu Hisia April 29, 2014 0 Baada ya JB, Joti na mastaa wengine wa Tanzania kula mashavu ya matangazo ya mitandao ya simu, sasa ni zamu ya Wema Sepetu. Mrembo huyo amekula shavu la kutangaza promotion mpya ya mtandao wa simu wa Airtel.
Post a Comment