DIAMOND PLATINUMZ AFUNGUKA SIRI NZITO YA KUTOPINDUA KWA MADAME WEMA SEPETU....!SOMA HAPA

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’   
 STAA wa Number One Remix, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amesema
vipo vitu vingi anavyovipenda kwa mpenzi wake, Wema Sepetu lakini suala la mapishi ndilo linachukua nafasi kubwa.
 

akiwa na sweet wake Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye'. “Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana,” alisema mwanamuziki Diamond.
Diamond Platnumz.

Post a Comment

أحدث أقدم