NIKE walizungumza kuwa KIT hii inaonyesha alama maalum ya timu hii na ni jinsi kani England inavyokwenda na Fashion sababu muonekano huu ni muonekano wa dunia ya sasa ya Fashion na kuiita “The Classic New England Kit”. Vile vile kit hii inasherekea historia ya team ya England na rangi nyekundu inaashiria ushindi sababu timu ya England iliivaa wakati wamechukua ubingwa wa kombe la dunia mwaka 1966.
“The Red jersey has been an icon since England won the World Cup wearing it in 1966, As they prepare to compete this summer, we wanted to pay tribute to their storied history while updating the kit with several contemporary design details.”” said Martin Lotti, Nike Football Global Creative Director.
Post a Comment