Eto’o aongoza Utajiri kwa wachezaji wasio wazaliwa wa ENGLAND

Bild 326

Samuel Eto’o mchezaji wa timu ya soka ya nchini uingereza CHELSEA ameongoza kwenye matokeo yaliyofanywa na WEALTH-X List ambao hufuatilia maswala hayo kwa upande wa soccer. Samuel Eto’o ambae inasadikika ana utajiri kiasi cha pauni za uingereza milioni 39 (£39 million) sawa na dola za kimarekani Milioni 64 ($64 million) ambayo mchezaji huyo amewazidi mpaka wachezaji toka nchi za Spain, Argentina na Czech Republic ambao wanagonga Soccer nchini humo.
TOP 10 WEALTHIEST FOREIGN-BORN EPL PLAYERS

INTL RANK  NAME  COUNTRY OF ORIGIN  TEAM  NET WORTH  NET WORTH
          (£ million) (US$ million)








1 Samuel Eto’o Cameroon Chelsea  £39 $64








2 Ryan Giggs Wales Manchester United  £27 $45








3 Fernando Torres Spain Chelsea  £26 $42








4 Yaya Toure Ivory Coast Manchester City  £25 $41








5 Sergio Aguero Argentina Manchester City  £24 $39








6 Robin van Persie The Netherlands Manchester United  £23 $38








6 Peter Cech Czech Republic Chelsea  £22 $36








8 Emmanuel Adebayor Togo Tottenham  £22 $36








8 David Silva Spain Manchester City  £19 $31








10 Kolo Toure Ivory Coast Liverpool  £18 $30

Mzaliwa huyo wa nchini Cameroon ambae mnamo mwaka 2013 aliingia mkataba wa mwaka mmoja na timu ya Chelsea, inasemekana alipewa dau kubwa sana ambalo halikutangazwa kwa sababu Chelsea walikuwa hawawezi kumuachia baada ya mchezaji huyo kutangaziwa dau kubwa na timu ijulikanayo kama Anzhi Makhachkala’  ya nchini Russia.

Post a Comment

Previous Post Next Post