
Samuel Eto’o mchezaji wa timu ya soka ya nchini uingereza CHELSEA ameongoza kwenye matokeo yaliyofanywa na WEALTH-X List ambao hufuatilia maswala hayo kwa upande wa soccer. Samuel Eto’o ambae inasadikika ana utajiri kiasi cha pauni za uingereza milioni 39 (£39 million) sawa na dola za kimarekani Milioni 64 ($64 million) ambayo mchezaji huyo amewazidi mpaka wachezaji toka nchi za Spain, Argentina na Czech Republic ambao wanagonga Soccer nchini humo.
TOP 10 WEALTHIEST FOREIGN-BORN EPL PLAYERS| INTL RANK | NAME | COUNTRY OF ORIGIN | TEAM | NET WORTH | NET WORTH | |
| (£ million) | (US$ million) | |||||
| 1 | Samuel Eto’o | Cameroon | Chelsea | £39 | $64 | |
| 2 | Ryan Giggs | Wales | Manchester United | £27 | $45 | |
| 3 | Fernando Torres | Spain | Chelsea | £26 | $42 | |
| 4 | Yaya Toure | Ivory Coast | Manchester City | £25 | $41 | |
| 5 | Sergio Aguero | Argentina | Manchester City | £24 | $39 | |
| 6 | Robin van Persie | The Netherlands | Manchester United | £23 | $38 | |
| 6 | Peter Cech | Czech Republic | Chelsea | £22 | $36 | |
| 8 | Emmanuel Adebayor | Togo | Tottenham | £22 | $36 | |
| 8 | David Silva | Spain | Manchester City | £19 | $31 | |
| 10 | Kolo Toure | Ivory Coast | Liverpool | £18 | $30 |
Mzaliwa huyo wa nchini Cameroon
ambae mnamo mwaka 2013 aliingia mkataba wa mwaka mmoja na timu ya
Chelsea, inasemekana alipewa dau kubwa sana ambalo halikutangazwa kwa
sababu Chelsea walikuwa hawawezi kumuachia baada ya mchezaji huyo
kutangaziwa dau kubwa na timu ijulikanayo kama ‘Anzhi Makhachkala’ ya nchini Russia.
إرسال تعليق