Mshindi wa nafasi ya nne kwenye shindano la mwaka jana la Tusker
Project Fame, Elisha Hisia, atakuwa na show iliyopewa jina la ‘Usiku wa
Hisia’ Jumapili hii kwenye ukumbi wa Club Bilicanas. Hisia
atasindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Grace Matata, G-Nako, Damian
Soul na wengine.
Hisia ameiambia Bongo5 kuwa siku hiyo ataimba muziki wa live kuanzia
soul, rnb, reggae hadi hip hop. “Good music for good people,” amesema.
Post a Comment