Miss Tanzania, 2001, Happiness Millen Magese, alihudhuria harusi
ya kifahari ya mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage na Tunji Teebillz
iliyofanyika kwenye hoteli ya Armani, iliyopo katika jingo refu zaidi
duniani, Burj Khalifa mjini Dubai.
Millen na Tiwa SavageHarusi hiyo ilifanyika Jumamosi, April 26.
Millen Magese na Don Jazzy
Miongoni mwa mambo yaliyotia fora kwenye harusi hiyo ni pale CEO
MAVIN Records Don Jazzy alipowapa wanandoa hao gari mpya ya SUV.

Kingine ni wageni wote kwenye harusi hiyo kupewa customized iPhones.
Tiwa-Tee-Billz-Custom-iPhone
إرسال تعليق