HAWA NDIO WASHIRIKI WALIOPO KIKAANGONI MAISHA plus

ANETH (MP 03), DOUGLAS (MP 07) na HYASINTA (MP 11) wameingia kikaangoni wiki hii. Kazi kwako sasa kumuokoa mshiriki umpendae.
Kumpigia kura ANETH, kwa SMS, andika MP 03 kisha tuma kwenda namba +255 689 666 662
Kumpigia kura DOUGLAS, kwa SMS, andika MP 07 kisha tuma kwenda namba +255 689 666 662
Kumpigia kura HYASINTA, kwa SMS, andika MP 11 kisha tuma kwenda namba +255 689 666 662
Utakatwa bei ya kawaida ya meseji, waliojiunga na vifurushi hawatakatwa kabisa. Unaruhusiwa kupiga kura moja kwa kila saa.
Powered by:
Bill&Melinda Gates Foundation

Post a Comment

أحدث أقدم