Jay Z na Beyonce walivyojirusha kwenye tamasha la Coachella - Picha
Hisia0
Jay Z na mke wake Beyonce waliamua kurejea tena kwa siku ya pili
kwenye tamasha la kila mwaka la Coachella Valley Music And Arts
Festival la Indio, California. Bey ameshare picha zinazowaonesha
wakifurahia burudani kwenye akaunti yake ya Tumblr.
إرسال تعليق