
Kuna wakati hata kama mtu anayo PASSWORD yako ya FB au akaunti
yako ya barua pepe bado hawezi kuingia kwa akaunti yako, Unaweza dhibiti
watu wengine wasifungue akaunti yako ya email au Facebook kwa kufuata
huduma ya ku sign in mara mbili.
Yaani ipo hivi:
1. Mara ya kwanza una sign in kama kawaida kwa kutumia ID na
PASSWORD yako, ambapo hivi ndio umekuwa ukifanya wakati wote. Ila kwa
huduma hii ya kusign mara mbili, ID na PASSWORD pekee hazikuruhusu
kuingia kwa akaunti yako.
2. Utakapomaliza ku sign in ,
utatakiwa kufuata hatua ya kuweka CODE maalum ambayo utatumiwa kwa njia
ya ujumbe mfupi kwa simu yako. Au la pengine tayari ulipojiandikisha kwa
huduma hiiya kusign mara mbili, basi uliweza ku download CODES maalum
ambazo ni wewe tuu ndio utaweza kuzitumia.
—Fuata maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma hii ya kusign mara mbili kwa kubofya link hapo chini.
HUDUMA YA FACEBOOK KUSIGN IN MARA MBILI …BOFYA HAPA
HUDUMA YA GMAIL KUSIGN IN MARA MBILI ……..BOFYA HAPA
HUDUMA YA YAHOO KUSIGN IN MARA MBILI …….BOFYA HAPA
إرسال تعليق