
Sababu za ugomvi baina ya mapacha wa P-Square zafahamika
Kaka yao Jude Okoye ambaye anadaiwa kuwa na mchango mkubwa wa ugomvi
wa Peter na Paul, ametweet kueleza kuwa kwake familia ni kitu cha kwanza
na kwamba P-Square itadumu.
Family is everything indeed. Long live PSQUARE!
— IG: @Judeengees (@judeengees) April 25, 2014
Post a Comment