Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa
kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar
es salaam akikabidhi kompyuta 5 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima
Kihemba kwa ajili ya shule ya sekondari ya Pangani wakati wa
makabidhiano yaliyofanyika shuleni hapo leo mjini Kibaha ambapo pia
mwakilishi huyo alikabidhi kiasi cha fedha Taslimu shilingi milioni
10,000,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabala katika shule
hiyo.katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru (PICHA NA KIKOSIKAZI
CHA FULLSHANGWE-KIBAHA)
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi fedha taslimu shilingi
milioni 10,000,000 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa
ajili ya kununulia vifaa vya maabara katika shule hiyo katikati ni Mkuu
wa shule hiyo Inocencia Mfuru
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprises za jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya makabidhiano.
Mkuu wa
wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja
na wanafunzi wawakilishi wakati wa makabidhiano hayo, kutoka kulia ni
Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na
Lugumi Enterprises,Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Jenipher Omolo.
Mkuu wa
wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba pamoja na wawakilishi wa kampuni za
RAN IT Solution na Lugumi Enterprises pamoja na wakuu wa shule ya
Sekondari Pangani wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
makabidhiano hayo.
Baadhi ya
wanafunzi wa shule ya sekondari Pangani wilayani Kibaha wakibeba
kompyuta kwa ajili ya kukamilisha kazi ya makabidhiano shuleni hapo leo.
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprises za jijini Dar es salaam akipokea cheti cha kutambuliwa rasmi
kwa mchango wa kampuni hizo kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh.
Halima Kihemba.
Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba akizungumza katika hafla hiyo ya makabidhiano.
Baadhi ya wanafunzi wakihojiwa na mwandishi wa habari Faraja Kihongole kutoka kituo cha Televisheni cha Chanel Ten.
Fatma
Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi
Enterprisesna ,Ellygood Sangawe Meneja wa kampuni hiyo Kanda ya Ziwa
wakitembelea maabara ya shule hiyo.
Mkuu wa
shule ya sekondari ya Pangani ya Kibaha Inocencia Mfuru akitoa maelezo
kwa wageni hao wakati walipokuwa wakitembelea maabara.
Baadhi ya majengo ya shule ya Sekondari Pangani. (FS)
Post a Comment