Kongamano la Jumuiya ya Maimamu Zanzibar Kuhusu mchakato wa katiba mpya Limeanza Asubuhi hii
Hisia0
Kongamano
limeanza asubuhi hii SUZA. Limeandaliwa Jumuiya ya Maimamu Zanzibar.
Kuhusu mchakato wa katiba mpya. Bado hamjachelewa. Jihimu kufika hapo
katika ukumbi Unaombwa umjuulishe na mwenzako. Makamishna wa tume
watakuwepo
إرسال تعليق