Kutoka Instagram Picha: Walichopost mastaa wa Bongo kwenye Instagram jana na leo
Hisia0
Tazama baadhi ya picha walizopost mastaa wa Tanzania kwenye Instagram, Ijumaa hii na Alhamis hii. Nay ameandika: Ma#director wa #kike hao apo…#Thailand+#India
Wanaongoza #team ya wa2 zaidi ya 20 kwny kampuni,,, na kazi yao ni c
yakitoto…#966 Wanawake #wakitanzania amkeni nina imani #mnaweza.. msiwe
tegemezi eti uolewe uwe mwanamke goli kipa#utanyanyacka #wake#up #mamaz…
#wanawake #mnaweza #nawapenda wanawake wt wanaojituma..#tanzania
(nimemic home sweet home) made in #tanzania #966 #money #makersPenny ameandika: I luv being in front if the cam Penny ameandika: And voice overs….#stillworking..no lunch for me.. Dj Choka Barnaba na Vanessa Mdee akiwa Bangkok, Thailand Barnaba ameandika: Am in – 28 Floo… $ if u like.. Wellcome …but..! Ommy Dimpoz Mwana FA alipokuwa Dubai Irene Paul Marco Chali na AY (aliyeshika simu) Brigitte Alfred Hamisa Mobeto Profesa Jay na Lil Ommy wa Times FM Wakazi
Post a Comment