
Leo
(April 7) aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie marehemu Steven Kanumba
anatimiza miaka miwili tangu afariki dunia. Aliyekuwa mpenzi wake
Elizabeth Michael aka Lulu ameandika ujumbe wa kumkumbuka marehemu
Kanumba.
Hiki ndicho alichokiandika kupitia akaunti yake ya Instagram (@Officiallulumichael):

Bado
siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia
baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko
ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na
miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P
daddy angu
إرسال تعليق