Lupita azidi kung'aa.. adaka dili za maana majuu!

Akiwa anazidi kung'ara Lupita Nyongo anazidi kuchanja mbuga huku akiwa dili la kuwa kisura wa kwanza mweusi na balozi wa vipodozi kwenye kampuni kubwa Ufaransa Lancome, Lupita ametokelezea kwenye cover ya mbele kabisa ya Marie Claire May 2014 issue kama mmoja wa  “Fresh Faces” mwaka  2014.
Lupita pia amefungukia hofu iliyomkuta muda mfupi kabla kutangazwa kuwa ni mshindi wa tuzo kubwa za Oscar..
“Siwezi kutamani hata imtokee adui yangu mkubwa.. yaani haielezeki! ni kama unasubiri majibu hospitali...”
Kwenye toleo hilo pia Lupita yupo na visura wengine Kate Mara, Emilia Clarke, Elizabeth Olsen pamoja na Elle.

Post a Comment

Previous Post Next Post