
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza
wa Rais Omar Dadi Shajak katikati akishirikiana na Wawakilishi wa
Taasisi ya I,H,H Insani Yardimvakfi kutoka Uturuki kupanda Miti katika
maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.

Wanafunzi kutoka katika Skuli ya
Muzdalifat wakishiriki katika Kupanda Miti katika maadhimisho ya siku ya
Mtoto Yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.

Watoto Mayatima wakiwa wamekusanyika
katika kusherehekea Maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima yaliofanyika
huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.

Katibu Mkuu Osifi ya Makamo wa Kwanza wa
Rais Omar Dadi Shajak akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto
yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.kulia kwake ni
katibu Mtendaji wa Wakfu na mali ya Amana Sheikh Abdalla Twalib na
kushoto yake ni mwakilishi wa I,H,H Sheikh Muhammed Pakshi.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
إرسال تعليق