Mkazi
wa Bonde la Mpunga - msasani, Dar es Salaam akiangalia hali ya mafuriko
na baadhi ya vitu vyake alivyofanikiwa kuviokoa. Hii ni baada ya mvua
kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam

Hivi ndivyo eneo la maduka ya Mayfair Plaza, Mikocheni lilivyoonekana kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha jijini Dar es Salaam

Wakazi wa Tabata Kisiwani wakipita katikati ya reli iliyofurika maji kutokana na mvua zilizonyesha Dar es Salaam

Mfanyabiashara ndogondogo katika eneo la Tabata Relini jirani na ofisi za Mwananchi Communications Limited akiwa amekaa juu ya ukingo wa daraja baada ya eneo hilo kufurika maji kutokana na mvua iliyonyesha Dar es Salaam
PICHA KWA HISANI YA DAR 24...

Post a Comment