
Giggs ambae ameingia
ndani ya Old Traffort tayari kuikabiri timu ya Norwich City. Ryan
alisema “This is the proudest moment of my life,” alizungumza kama akiwa
anaelekea kwenye rekodi ambayo imevunjwa na “player-manager legends”
kama “Kenny Dalglish” ambae alishinda mara 2 mwaka 1986 akiwa na
Liverpool.
Giggs ameahidi kuweka sura za furaha kwenye nyuso za mashabiki na
ameongeza kwa kusema….. “Passion, speed, tempo, be brave, imagination.
Work hard but most of all enjoy it. I’ve told the players, I trust you
and know what you’re capable of. Now go out there and show it.”

إرسال تعليق