
Waigizaji wanne wa Tanzania ambao ni pamoja na Monalisa, Riyama
Ally, Wastara Juma na Claud, Jumatano hii wanatarajia kusafiri kuelekea
jijini London, Uingereza kufanya filamu iliyopewa jina la ‘Ughaibuni’.
Wasanii hao wanatarajia kwenda kukaa nchini humo kwa wiki mbili ama
tatu. Filamu hiyo imeandikwa na kudhaminiwa na kampuni ya Didas
Entertainment ya jijini London inayohusika na masuala ya burudani.
Post a Comment