






Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Iringa mjini na mjumbe
wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mch. Peter Msigwa
(Chadema) akibadilishana mawazo na wakazi wa Iringa mjini leo mchana
kuhusu kinachoendelea bungeni mjini Dodoma. (Picha na Friday Simbaya)
إرسال تعليق