Chidi Benz alimjeruhi vibaya msichana anayedaiwa kuwa mpenzi
wake wa zamani, Mwanaisha Kiboye. Kwa mujibu wa maelezo aliyoipa Global
TV, Mwanaisha anasema alimkuta Chidi Benz maeneo ya Buguruni akiwa na
mpenzi wake na kumsalimia hali iliyomchukiza rapper huyo aliyebinua meza
waliyokuwa wamekaa na kuanza kumpiga.
Hata hivyo Chidi Benz aliyekamatwa, kupanda kizambani kwenye mahakama
ya Ilala kwa kosa la kujeruhi na kukutwa na bangi, ametoka nje kwa
dhamana ya shilingi laki moja, kitendo ambacho kimewasikitisha ndugu wa
Mwanaisha wanaosema alimjeruhi mno kiasi cha kukaribia kumuua.
“Ukiangalia mgonjwa mwenyewe baada ya muda anapoteza fahamu, anaweza
akapoteza fahamu nusu saa. Kwahiyo hapa tunafanya process za kufanya
CT-Scan ya kichwa na ambayo gharama yake ni laki 3 kwa private na laki
mbili kwa serikali,” alisema Oliver ambaye ni rafiki wa Mwanaisha,
إرسال تعليق