Mama
watoto wa muigizaji maarufu, Will Smith ambaye aliwahi kushiriki katika
kampeni maalum ya kupinga tabia za kuuza mwili mwaka 2012 amepost picha
ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha akiwa mtupu.
Jada
Pink ambaye pia ni muigizaji mwenye mafanikio makubwa amepost picha
‘black ana white’ inayomuonesha akiwa amelala kitandani na kuandika
ujumbe unahamasisha watu kutunza miili yao.
“The
human body is beauty, art, creativity, expression, a vessel for the
soul, our temple and a magnificent machine. We gotta take care of it.
Love on your body today. It’s thee only body you got;”
Post a Comment