Quick Rocka ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanomiliki
studio zao, lakini toka studio yake imefunguliwa alikuwa bado hajaweka
wazi producer atakayekuwa mpishi wa studio hiyo inayoitwa ‘Switch
Records’.
Quick amemtangaza rasmi Nahreel ndiye producer wa Switch.
‘It’s official now…He’s the producer at SWITCH REC. @NahreelBeatz #2014#Switch#Midundo#MoneyTeam#Nahreel’ ameandika Quick kupita Instagram.
Nahreel ni producer ambaye amefanya hits nyngi hadi sasa zikiwemo kazi nyingi za Weusi, single ya Vanessa ‘Come Over’ na wimbo wa kundi lake Navy Kenzo ‘Chelewa’.
Wasanii wengine wanaomiliki studio zao ni pamoja na Professor Jay, Dullysykes, Bob Junior, Mrisho Mpoto, Mb Dogg, Juma Nature, AT na wengine.

إرسال تعليق