
Nazizi aliyasema hayo alipofanyiwa mahojiano na website ya Rap Nairobi kutoka Kenya na kufunguka zaidi kua biashara hiyo ni ya kuuza stika za kubandika katika kucha zinazotumiwa hasa na wadada. Hii imepokelewa kitofauti kwani mashabiki wengi walikua wakimchukulia Nazizi kama mtu mwenye tabia za kiume.
Akiongea katika mahojiano hayo nazizi alisema “Beside the music projects I’m working on a beauty project called Nail Stickers by Nazizi.I love doing my nails but I rarely have time. It is the same with most professional ladies who also don’t have time to get a manicure regularly but with the nail stickers, they will be able to purchase them, put them on, file them and you are done.”
Alipoulizwa kuhusu kwa nini amechagua kufanya biashara hiyo Nazizi alisema “This is something I’m passionate about — only my close friends and family know about it. I have been doing it for them. While I never get the time to do it, I want to share this new found passion with everyone and dedicate more time to do this.”
إرسال تعليق