New Track:- Cannibal, Country Boy, Tash, Leo Mysterio, Viva, P The MC & B Gway – Tunaleta Kwere

co_51cec.jpg

 
 Baada ya Life Goes on iliyoshirikisha wasanii kama Kala Jeremiah,G Nako,Da Hustler na wengine, hii ni release nyingine toka kwenye project ya kubwa kuliko ambayo inategemewa kuwa project ambayo itashirikisha wasanii wengi kuliko zote zilishowahi kutokea nchini, “Napenda kufanya hivi kwasababu inatoa nafasi kubwa kwa wasanii mbalimbali kutoa mawazo yao kwa jamii,pia inatengenezea wasanii wadogo nafasi flani nzuri katika industry,tunashukuru sana media zote kwa kutusupport,na jamii nzima kwa kutupokea”, asema John B,huu ni mkono toka kwa John B ndani ya studio za Grandmaster Arusha.
napenda pia kutambulisha upande wangu mwingine ambao utanisaidia kusimamia hii ngoma kwenye social networks,kampuni ambayo nipo na ndugu yangu Joel Joseph Fresh120 Media,tupo hapa www.fresh120media.com ,twende sawa,mengi yaja,pamojah sana.

Song Credits
Song;Tunaleta Kwere Artists; Country Boy,Tash,Viva,Cannibal,Leo Mysterio,P The MC & B Gway Grandmaster Records Arusha, Produced by John Blass (John B)
Download link;
http://www.hulkshare.com/dl/jg46dieolgqo

Nicheck instagram; http://www.instagram.com/johnbgrand

Post a Comment

Previous Post Next Post