Baada ya Life Goes on iliyoshirikisha
wasanii kama Kala Jeremiah,G Nako,Da Hustler na wengine, hii ni release
nyingine toka kwenye project ya kubwa kuliko ambayo inategemewa kuwa
project ambayo itashirikisha wasanii wengi kuliko zote zilishowahi
kutokea nchini, “Napenda kufanya hivi kwasababu inatoa nafasi kubwa kwa
wasanii mbalimbali kutoa mawazo yao kwa jamii,pia inatengenezea wasanii
wadogo nafasi flani nzuri katika industry,tunashukuru sana media zote
kwa kutusupport,na jamii nzima kwa kutupokea”, asema John B,huu ni mkono
toka kwa John B ndani ya studio za Grandmaster Arusha.
napenda pia kutambulisha upande wangu mwingine ambao utanisaidia kusimamia hii ngoma kwenye social networks,kampuni ambayo nipo na ndugu yangu Joel Joseph Fresh120 Media,tupo hapa www.fresh120media.com ,twende sawa,mengi yaja,pamojah sana.
Song Credits Song;Tunaleta Kwere Artists; Country Boy,Tash,Viva,Cannibal,Leo Mysterio,P The MC & B Gway Grandmaster Records Arusha, Produced by John Blass (John B)
Download link; http://www.hulkshare.com/dl/jg46dieolgqo
Nicheck instagram; http://www.instagram.com/johnbgrand

إرسال تعليق