New Track Extended Version - Profesa Jay feat. Diamond 'Kipi Sijasikia', imetengenezwa na Xpandabledjz
Hisia0
Kundi la Xpandabledjz linayoundwa na Dj RGuy na Dj Jors
Bless wa 100.5 Times Fm limetengeneza Xtended Version ya hit ya Profesa
Jay ‘Kipi Sijasikia’ akiwa ameshirikisha Diamond Platinumz.
Wimbo ulitayarishwa na P-Funk Majani ndani ya Bongo Records.
Post a Comment