New Track Extended Version - Profesa Jay feat. Diamond 'Kipi Sijasikia', imetengenezwa na Xpandabledjz

Sikiliza Extended Version ya wimbo wa Profesa Jay feat. Diamond



 
Kundi la Xpandabledjz linayoundwa na Dj RGuy na Dj Jors Bless wa 100.5 Times Fm limetengeneza Xtended Version ya hit ya Profesa Jay ‘Kipi Sijasikia’ akiwa ameshirikisha Diamond Platinumz.

Wimbo ulitayarishwa na P-Funk Majani ndani ya Bongo Records.


Post a Comment

أحدث أقدم