New Track:- Witnesz & Ochu Sheggy – Think About It

10154378_425114817591744_1122851077_n
Ukisikiliza ujumbe vizuri kwenye think abou it utagundua kwamba the track inazungumzia juu ya uhusiano wetu kwa asilimia 85% na ni track ambayo tulipaswa kuifanya 2008 lakini kutokana na sababu zisizo weza kuzuilika ikashindikana, kwa kuwa ina version ya Ochu peke yake, Ochu na Fid Q kuanza version nyingne ilishindikana yeye kurekodi alitaka kuifanya na dada mmoja mjini Nairobi but all in all ni kama watu walipotezana halafu wakakutana tena wakati sahihi ulipowadia
Na this track ina very strong histry baina yangu na Ochu beat imetengenezwa na Lucci hata sidhani kama atauua anaikumbuka and tumekuja kuimalizia kwenye an audio studio ambayo oTchunes tunashare inaitwa expensive music by zidady mwamba as the prodcer na its video comming soonest amnayo tumeifany na Lbashir, Badifilmz wa Uganda, and bila kusahau tutafanya a launch ya its video kati kati ya june pia itakua perfomance yetu ya kwanza kama otchunes ambapo ni jina linalobeba muunaganiko wa Witnesz na Ochu Sheggy

KAULI YA GUARDIOLA BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA REAL MADRID

PEP Guardiola ameeleza kuwa kiwango walichoonesha Bayern Munich ni kikubwa mno japokuwa walifungwa mabao 4-0 na Real Madrid katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya UEFA kwenye uwanja wa Allianz Arena jana.
The Bavarians walichanganyikiwa kwa mabao mawili ya Sergo Ramosi na Cristiano Ronaldo na kuvuliwa ubingwa kwa wastani wa mabao 5-0 kufuatia kupigwa bao 1-0 mchezo wa kwanza Santiago Bernabeu. Guardiola ambaye kikosi chake kilicheza kwa kujituma zaidi katika kipigo cha kwanza cha bao 1-0 Bernabeu, hakikuweza kufua dafu jana Allianz Arena. “Kila kitu kinatokea katika mpira kutokana na kucheza vizuri. Nimefungwa mara nyingi katika kazi yangu na hii ni mojawapo”. Guardiola amewaambia waandishi wa habari. “Tulifungwa mabao mengi, lakini tulicheza kwa kiwango kikubwa na ndio sababu ya kupoteza”. “Hakuna sababu nyingine, huu ndio mpira”. “Unapocheza vibaya, unafungwa mabao mengi. Tuliingia na nguvu, tungeweza kufunga kwa nafasi tulizopata, lakini hatukuweza”. “ Kucheza kwetu vibaya ndio sababu pekee ya kufungwa”. Bayern imefanikiwa kutwaa kombe la dunia la klabu na Bundesliga msimu huu, na wamebakiwa na kombe la mwisho la DFB-Pokal mei 17 dhidi ya Borussia Dortmund. Hii itakuwa kama marudio ya fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya mwaka jana.
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/04/kauli-ya-guardiola-baada-ya-kipigo.html#sthash.gqD6wRzN.dpuf

Post a Comment

Previous Post Next Post