NEWS:- BASI LAPINDUKA ENEO LA BWAWANI MOROGORO MUDA HUU.

 Basi hilo likiwa Likiwa limedondoka
 Baadhi ya watu wakiwa wanatazama Ajali hiyo
 Baadhi ya abiria na Mashuhuda Basi ambalo halikutambulika Jina lake mara moja limepata ajali eneo la Bwawani Muda mchache uliopita, chanzo cha ajali hiyo hakijajurikana
Habari kamili inakuja .. fuatilia hapa
Picha na Morogoro yetu Blog

Post a Comment

أحدث أقدم