NEWS : MLIPUKO MKUBWA UNAOZANIWA NI BOMU WATOKEA ARUSHA. SOMA HAPA

Screen Shot 2014-04-13 at 9.36.58 PMkwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira.


Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.

CREDIT : MILLARD AYO

Post a Comment

أحدث أقدم