Ni mastaa wawili tu wa Tanzania walio na ‘verified accounts’ za Facebook, wafahamu

check-mark
Kuwa na likes nyingi Facebook ni kitu kimoja na kuwa na ‘verified account’ ni kitu kingine. Wakati ambapo mastaa wengi wa Marekani wakiwa na akaunti za aina hiyo, bado mastaa wengi wakubwa wa Afrika wana akaunti ambazo hazijawa verified. Lakini kwa Tanzania kuna mastaa wawili hadi sasa walio na akaunti zilizokuwa verified.
Mastaa hao ni Miss Universe Tanzania wa zamani, Flaviana Matata mwenye likes 22,961 likes hadi sasa na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya BBC, Salim Kikeke mwenye likes 147,683 hadi sasa

Post a Comment

Previous Post Next Post