Picha;- Utengenezaji wa video mpya ya NAS TATU “NIWEJE”

IMG-20140421-WA0005

Nas Tatu msanii mkali anayekuja kwa kasi sana kwenye tasnia ya bongo hip hop, wiki ile iliyoisha alikuwa akishoot video yake mpya aliyoifanya na Izzo B pamoja na Dev Zinda msanii kutoka THT. Wimbo unaitwa NIWEJE na video imefanywa na Dir Nick Dizzo na naambiwa ndani ya hii video yupo dada wa tumbo moja wa msanii Diamond anaitwa ESMA kama unavyomwona picha hiyo ya juu akiwa na Nas 3, dada huyu yeye kacheza kama video queen na mbwembwe zake mtakuja kuziona soon video ikitoka.
IMG-20140421-WA0006 IMG-20140421-WA0007 IMG-20140421-WA0008 IMG-20140421-WA0009 IMG-20140421-WA0010 IMG-20140421-WA0011 IMG-20140421-WA0012 IMG-20140421-WA0013

Post a Comment

Previous Post Next Post